Headphone hupendwa na watu kwa ajili ya kusikiliza muziki bila kusumbua watu wengine lakini kwa sasa headphone zimekuwa zikitengenezwa kifahari zaidi mfano Abyss AB-1266 ni headphpone ghari sana duniani mbali na ughari wake haija nakshiwa na diamond wala dhahabu ni ubora wake tu,imetengenezwa kwa aluminium na mchanganyiko wa vitu vingine vingi,
Ifuatayo ni chati ya Headphone ghari zaidi duniani
HeadPhones | Bei |
Abyss AB-1266 | $5,495 |
Ultrasone Edition 5 | $4,999 |
Stax SR-009 | $4,450 |
Audeze LCD-3 | $1,945 |
Grado PS1000 | $1,695 |
Sennheiser HD800 | $1,500 |
Beyerdynamic T1 | $1,399 |
JH Audio JH16 Pro | $1,149 |
Hifiman HE 6 | $1,299 |
Audio-Technica ATH-W5000 |
$1,200 |
Abyss AB-1266 : gharama ($5,495) :
.Hii ndio headphone ghari zaidi duniani na mara nyingi hutumika kurekodia muziki.