HIZI NDIZO AINA KUMI ZA SIMU GHARI ZAIDI DUNIANI
1) iPhone 5 Black Diamond :Bei $15.3 MillionMoja kati bidhaa za simu ambazo ni ghari sana ni za Apple na hilo linathibitishwa na Iphone 5 Black diamond ambayo thamani yake kwa pesa ya tanzania ni zaidi ya shilingi bilioni ishirini,simu hiyo ambayo imenakshiwa kwa 26 carrot ya black diamond ndio simu ghari zaidi duniani,Ngoja tusubiri Iphone 6 ila kwa sasa ni hiyo.
2) iPhone 4 Diamond Rose Edition :Bei $8 Million
Simu hii inashikilia nafasi ya pili na thamani yake kwa pesa za Tanzania ni zaidi ya shilingi bilioni kumi na tatu,simu hii imenakshiwa na Diamond Rose Edition.
3) iPhone 3GS Supreme Goldstriker Advanced : Bei – $3.2 millions :
Simu hii inashika nafasi ya tatu,simu hii imenakshiwa kwa dhahabu.
4) iPhone 3G Kings Button : Bei– $2.4 million :
Simu hii inashikilia nafasi ya nne nayo imenakshiwa kwa diamond carrot ya 6.6 ambayo ni gharama sana,moja kati ya sifa kuu ya hii simu nikwamba vibonyezo vyake vimetengenezwa kwa diamond.
5) GoldVish Le Million : Bei – $1.3 million :
Simu hii inashikilia nafasi ya tano,Imenakshiwa kwa gold tu na imebuniwa na mbunifu kutoka sweden Emmanuel Gueit,simu hii inamilikiwa na mmoja kati ya wafanya biashara wakubwa huko russia.
6) Diamond Crypto Smart Phone : Bei– $1.3 million :
Diamond crypto pia ni simu ghari ambayo imenakshiwa kwa diamond.
7) Gresso Luxor Las Vegas Jackpot : Bei – $1 million :
Hii imenakshiwa kwa Dhahabu na diamond.
8) Vertu Signature Cobra : Price Tag – $310,000 :
10) iPhone Princess Plus : Bei – $176,400 :