1. Lamborghini Veneno $4,500,000
Gari hii kwa sasa ndo gari ghari zaidi duniani,Gari hizi hutengengenezwa tatu tu kwa mwaka hivyo ukihiitaji lazima huwe miongoni mwa wanaosubiri itengenezwe kwa ajili yako.
2. Lykan Hypersport $3,400,000.
Gari hii inashikilia nafasi ya pili kwa thamani ya ughari zaidi duniani,Kampuni ya W MOTORS inapanga kuzalisha ghari hizi saba tu kila mwaka,gari hii yenye 6 twin-turbo engine na 750 horsepower ina kadiriwa kuwa na 245 speed mph.
3. Bugatti Veyron Super Sports $2,400,000
Gari hii inashikilia nafasi ya tatu na moja kati ya sifa yake ni uwezo mkubwa wa mwendo kasi wake 267mph(460km/h).
4. Aston Martin One-77 $1,850,000
Gari hili jina "lake la one-77" linathibitisha vitu viwili uwezo wa speed wa gari hilo pia na uzuri lilio nao mwendo kasi wake unakadiliwa kuwa 220 mph(354km/h).
4. Pagani Zonda Cinque Roadster $1,850,000.
Gari ni moja kati ya magari ghari linauwezo wa mwendo kasi wa 217 mph(349km/h).
5. Zenvo ST1 $1,225,000.
Gari hii inauwezo wa kufikia 60 mph ndani ya eskunde 2.9 ni moja kati ya magari mazuri na yenye speed mwemndo kasi wake unakadiliwa kufikia 233mph(375km/h) gari hii inazalishwa na kampuni ya new Danish supercar company.
6. Lamborghini Reventon $1,600,000.
Gari ni miongonin mwa gari bora na ya gharama sana na ni ya tatu ukilinganisha kwa Lamborghini
inauwezo wa kufikia 60 mph ndani ya sekunde 3.3,mwendo kasi wake unakadiliwa kuwa 211 (339km/h).
6. Koenigsegg Agera R $1,600,000.
Gari hii ufikia 0-60mph ndani ya sekunde 2.8,inakadiliwa kuwa na mwendokasi wa 260 mph(418km/h),gari hii inauwezo wa kufika hadi mwendo kasi wa 270 mph.
7. Maybach Landaulet $1,380,000.
Gari hili ni moja ya magari ya kifahari ambalo halijawahi tengenezwa paa lake linauwezo wa kufunguka lote,