Kadri teknolojia inavyozidi songa mbele basi mambo mengi yanatokea ila leo kubwa zaidi ni ili la saa,Saa hizo ambazo zimezalishwa na makampuni makubwa kama Samsung , LG , Apple and Sony . Apple I-Watch , Moto 360 ,ni nouma.
#1 : Apple iWatch : Imetolewa (October )
Saa ya kwanza tunayokwenda itazama inatoka kwenye kampuni ya Apple ambayo ni miongoni mwa makampuni yanayo ongoza katika uzalishaji wa Smart Phones , Tablets,sasa wanakuja na iWatch ambayo ina operating system.
#2: Google Gem :
Baada ya mafanikio makubwa ya gooogle glass sasa google wamewashangaza tena wateja wao baada ya kuleta saa ya android ambayo inauwezo wa 512 RAM,4 GB Memory(1.65in IPS LCD screen , 280 x 280 Resolution ).
#3: LG : G-Watch :
Kampuni mkubwa kaktika uzalishaji wa smartphones , tablets , TV’s na bidhaa nyingine za elektroniki sasa imeingia katika uzalishaji wa saa ,saa ambayo inauwezo wa 1.65 inch display screen with 280×280 resolution , 512 MB Ram and 4 GB internal storage capacity .
#4: Samsung Gear 2 : Bei ($299)
Saa hii kutoka Samsung inakuruhusu kupokea simu,kupiga simu na pia kioo chake chenye ubora kinakupa muonekano mzuri,pia unaweza pokea vidokezo kutoka katika program mbalimbali,pia inauwezo wa kupima mapigo ya moyo.
#5: Motorola Moto 360 :
Moto 360 ni moja ya bidhaa bora za motorola saa hiyo inayotumia android ina uwezo wa wireless charging yaani kuchaji bila waya.
#6: Kreyos Meteor SmartWatch : Bei ($169)
Saa hii inauwezo wa kuunganishwa na smartphone yoyote kwa Bluetooth pia saa hii ina maiki ya kurekodi na spika ambazo haziingii maji,inauwezo wa kupokea maelekezo kwa sauti.
#7: OKO Android Watch :
Saa hii yenye uwezo wa voice memo , music control , contact list , calculator , interval timing chronograph,pia inauwezo wa kuunganishwa na simu yoyote ya android na iphone.
#8: Sonostar Smartwatch :
Saa hii yenye uwezo wa kuunganishwa na android smartphone 2.3,pia ina iOS 6.0+ phones . 1.73-inch display, touch-screen edition,inapokea simu,inasoma meseji,ina Usb .
#9: Sony : SmartWatch 2 SW2 :
Sony smartwatch 2 SW2 ni moja kati ya bidhaa bora sana za mkononi saa hiyo yenye uwezo wa kufanya kazi sambamba na simu yako ya android kupitia Bluetooth,inajikinga na maji pamoja na vumbi,pia inauwezo wa kufanya kazi na baadhi ya program.
#10: Neptune Pine : Bei ( 16GB / $335 – 32GB /$395)
Hii ni saa ambayo ukiwa nayo huna haja ya kuwa na simu maana yenyewe inauwezo wa kupiga simu,kupiga picha,kuingia intaneti na kutafuta data kupokea email,saa hii inauwezo wa memory ya
16GB to 32GB .