10. Ali Hosseini Khamenei
Khamenei ni muirani mwenye dhehebu la shia ambaye anaheshima kubwa sana kule Irani kama kiongozi wa kitaifa,Bwana khamenei ambaye aliyetumikia wadhifa wa Naibu waziri wa ulinzi alitunukiwa namba 21 mwaka 2012 na mtandao Forbes kama mwanasiasa mwenye nguvu duniani ila mwaka huu mwanasiasa huyu amepanda hadi nafasi ya 10.
Bonyeza hapa kuendelea...........
9.Sonia Gandhi
Ambaye ni rahisi wa chama kikubwa nchini India cha In dia National Congress,Mtawa huyu wasita wa waziri mkuu wa India Rajiv Gandhi ambaye anaheshima kubwa sana nchini India pia ni kiongozi wa muda mrefu sana wa chama hicho.
8.Dilma Van Rouseff
Dilma Van Rouseff Aliyezaliwa katika tabaka la juu 14 december 1947,alishawahi kutumia nyadhifa mbali kama katibu wa wizara ya madini,waziri wa nishati kabla hajawania kiti cha uraisi.
7.Francois Hollande
Mwanasiasa huyu aliyezaliwa 12 Augusti 1954 nin rahisi wa ufaransa,Kabla hajawa raisi Mei 2012 Hollande alikuwa akishikilia nyadhifa mbalimbali kama meya wa Tulle 2001 hadi 2008,pia alishawahi kuwa naibu wa baraza la taifa la ufaransa mara mbili 1988-1993 na 1997 hadi 2012.
6.David William Donard Cameron
Huyu ni mmoja kati ya wanasiasa hodari na mwenye uwezo wa ziada,Cameron aliyesomea Falsasafa siasa na Uchumi ni mmoja kati ya wanasiasa nguri na mashuhuri kwa wakati wa sasa,mwanasiasa huyo aliyesoma katika chuo cha Brasenose College,Oxford,kabla hajawa waziri mkuu wa uingereza alishawahi kuwa waziri,
5.Abdullah Bin Abdu;l Aziz Al saud
.Abdullah ni mfalme wa sita wa Saudi arabia na alikuwa mfalme baada ya kuumwa kwa kaka yake mfalme fahad ,japokuwa ufalme alitawazwa 2005,mwanasiasa huy anapata nafasi ya tano kama mwanasiasa mwenye nguvu kwasababu anaongoza au kutawa 18% ya mafuta duniani..Abdullah
anaukaribu mkubwa na mataifa ya marekani na uingereza,kabla hajawa mfalme alishawahi kuwa Kamanda wa jeshi la saudi Arabi pia Waziri wa ulinzi wa taifa hilo.
4.Angela Markel
Angela Markel amezaliwa July 1954 anastashahada ya dokta wa fizikia na kemia,alijihusisha na siasa tangu 1989 na sasa ni kansela wa ujerumani,ameshikilia nafasi hiyo tangu 2005,Pia ni kiongozi wa Christian Democratic Unit,Ameshawahi kuwa waziri wa wanawake na vijana,Nyuklia na usalama,ni mchumba wa mkemia maarufu Joachim saur.
3.Xi jinping
Amezaliwa juni 1953 katika familia ya kikomunisti ya Xi zhongxun,Amekomaa katika elimu na siasa,kwa sasa ndiye rahisi wa watu wa jamhuri ya china,ni mwenyekiti wa chama cha kikomunisti wa watu wa china na hiypo ndo inampa ngiuvu kubwa kama mwanasiasa hodari na mwenye nguvu.
2.Barrack Obama
Barrack Hussein Obama ni raisi wa 44 wa marekani amezaliwa 4 augusti 1961uko hawaii amekuwa raisi 20 januari 2010 kutoka chicago,Obama aliyehitimu katika chuo cha Columbia University,na kuhitimu sheria katika chuo cha Havard,Uwezo wake wa kufanya maamuzi unamfanya awe mwanasiasa mwnye nguvu namba 2 duniani.
1.Vladimir Putin
Amezaliwa 7 oktoba 1952,baada ya kuhitimu sheria katika chuo kikuu cha Lenggrad state university 1975,Alijiunga na KGB ambayo ilikuwa intelijinsia ya USSR,Alitunukiwa cheo cha luteni kanali lakini alistaafu mwaka 1991 na kujiingiza rasmi katika siasa tarehe 7 mei 2000 alikuwa rahisi wa Russia,alichaguliwa tena 2004 hivyo akaendelea kuwa raisi hadi 2008,2008 raisi mpya Dimitri meddvedev alimchagua Putin kama waziri mkuu hivyo alitumikia 2008 hadi 2012,na akashirikim kinyang'anyilo cha uraisi 2012 na kuchaguliwa tena,kipindi chote cha uongozi wake amejitahidi kupambana na ukosefu wa ajira na umasiki9ni na kwa kiasi kikubwa ameonyesha mafanikio,Hivyo Putin si tu mwanasiasa mashuhuri na mwenye nguvu bali ni mfano wa kuigwa kwa wanasiasa wengine.
10. Ali Hosseini Khamenei
10. Ali Hosseini Khamenei
10. Ali Hosseini Khamenei
10. Ali Hosseini Khamenei
10. Ali Hosseini Khamenei
10. Ali Hosseini Khamenei
10. Ali Hosseini Khamenei
10. Ali Hosseini Khamenei